TANZIA: Ajiua baada ya kuhusishwa katika kashfa ya rushwa na FIFA
Afisa wa zamani wa soka nchini Argentina amejiua baada ya kuhusishwa katika kashfa ya rushwa iliyotajwa mjini New York. Jorge Delhon a...
Afisa wa zamani wa soka nchini Argentina amejiua baada ya kuhusishwa katika kashfa ya rushwa iliyotajwa mjini New York. Jorge Delhon a...
Mwanamuziki wa Nigeria anayeunda kundi la Psquare Peter Okoye ameomba msamaha kwa washabiki kufuatia ugomvi na kaka yake. Kupitia video il...
K ocha wa Manchester Jose Mourinho amemuelezea kwa maneno matatu straika wake mpya Zlatan Ibrahimovic. Akiongea na waandishi wa habari wiki ...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeongeza muda zaidi kuimarisha idara zake ambako imeongeza muda wa wiki moja kwa Watanzania ...
Klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza imeorodheshwa ya tano kwa utajiri duniani na jarida la Forbes, thamani yao ikiwa imepanda kwa...
Bastian Schweinsteiger na mchumba wake, mchezaji wa tennis, Ana Ivanovic wamefunga ndoa. ...
Collabo ya Joh Makini na Davido, ilisharekodiwa, kupitia hatua zote za kumalisha ngoma na sasa ipo tu kabatini ikisubiria muda muafaka, itok...
Kocha mpya wa timu ya Manchester United, Jose Mourinho amevunja uvumi ulioenea juu ya nafasi ya Marcus Rashford baada ya kusajiliwa Zlatan I...
Muamuzi kutoka nchini England, Mark Clattenburg ameteuliwa na shirikisho la soka barani Ulaya UEFA, kuwa msimamizi wa mchezo wa hatua ya fa...
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesaini mkataba mpya wa miaka sita na mmiliki wa klabu hiyo akisema ingekuwa makosa kutompatia mkataba mpy...
Kocha mpya wa Manchester United, Jose Mourinho ameungana tena na wasaidizi wake wazamani huku msaidizi wake namba moja akiwa ni Rui Faria am...
Rapper Nay wa Mitego ameonyesha kuingiwa na wasiwasi kuhofia kufungiwa kwa wimbo wake mpya ‘Pale Kati Patamu’ ambao unatarajiwa kutoka hivi ...
Mwanariadha mlemavu wa nchini Afrika Kusini, Oscar Pistorius amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela kwa hatia ya kumuua mpenzi wake. ...
Timu ya taifa ya Ureno imeingia fainali ya kombe la Euro 2016 baada ya jana kuichapa Wales mabao 2-0. Mabao hayo yalifungwa na Cristiano Ran...
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC imemleta golikipa raia wa Hispania, Juan Jesus Gonzalez, aliyetua nchini, tayari kufanya ma...
Shirika la Kimataifa la Kandanda - FIFA limesema kuwa rais wake wa Zamani Sepp Blatter na wasaidizi wake wawili walijizawadia zaidi ya dola ...
Mkufunzi Jose Mourinho amesema kuwa yuko tayari kuchukua jukumu la kuifunza Manchester United, lakini akaonek...
Mchezaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela baada ya kupatikana na makosa y...
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Ambwene Yessahah aka AY. Mastaa kibao wanampongeza legend na pioneer huyo wa mambo kibao. ...
Beki wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa England Chris Smalling ameumia vibaya kwa kupasuka juu ya jicho baada ya kuanguka ghafla...