Header Ads

Header ADS

Klopp asaini mkataba mpya wa miaka 6 na Liverpool

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesaini mkataba mpya wa miaka sita na mmiliki wa klabu hiyo akisema ingekuwa makosa kutompatia mkataba mpya na wa muda mrefu.
Klopp alijiunga na Liverpool mnamo mwezi Oktoba ,baada ya kukubali mkataba wa pauni milioni 15 ambao umeongezwa hadi mwaka 2022.
”Uongozi wake utakuwa muhimu katika kufanikisha malengo yetu” ,alisema mmiliki wa Liverpool.
3610B06F00000578-3680472-Jurgen_Klopp_has_signed_a_new_six_year_contract_with_Liverpool_a-m-29_1467969950054Jurgen Klopp katikati akiwa na wasaidizi wake ambao wote wamesaini mkataba wa miaka sita                                Klopp aliifikisha Liverpool katika fainali ya League Cup pamoja na fainali ya Europa League msimu uliopita.
Raia huyo wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 49 aliisaidia Borussia Dortmund kushinda mataji mawili ya Bundesliga pamoja na kucheza fainali ya vilabu bingwa Ulaya 2013.

No comments

Powered by Blogger.