Header Ads

Header ADS

Bastian Schweinsteiger afunga ndoa na Ana Ivanovic

Bastian Schweinsteiger na mchumba wake, mchezaji wa tennis, Ana Ivanovic wamefunga ndoa.                                                          363159CD00000578-3686157-image-a-48_1468321274990 - CopySchweinsteiger ambaye ni mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Ujerumani, amefanikiwa kufunga ndoa Jumanne hii kwenye ukumbi wa Venice City Hall na mchumba wake huyo raia wa Serbia                                                                               36315F0B00000578-3686157-image-a-49_1468321289270 - CopySherehe hiyo imehudhuriwa na ndugu pamoja na watu wa karibu wa familia hiyo akiwemo kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Joachim Low, Thomas Muller, Kerber na Andy Murray.
Wawili hao walianza mahusiano mwaka 2014 baada ya Schweinsteiger kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Sarah Brandner waliodumu kwenye mahusiano kwa takriban miaka saba.

No comments

Powered by Blogger.