Video: Pogba ataja sababu iliyomrudisha tena Man United
Paul Pogba mentions why he agrees to sign to play for Manchester United after leaving the club four years ago as he missed a compromise with his former coach, Sir Alex Ferguson
Akiongea na MUTV baada ya kusaini mkataba wa kuichezea United kwa miaka mitano, Pogba amesema timu hiyo ndiyo klabu sahihi kwake ambayo itamfanya apate mafanikio aliyokuwa anayatamani siku zote.
Nyota huyo amefanikiwa kuweka rekodi ya dunia ya usajili kwa kununuliwa kwa paundi milioni 89 huku akiivunja ile iliyowekwa na Gareth Bale aliyonunuliwa kwa paundi milioni 85 kwenda Madrid akitokea Tottenham Hospurs.
Aidha Pogba (23) ameongeza kwa kusema, “Nimerudi Carrington. Imekuwa kama nimerejea nyumbani. Nilikuwa kama nimekwenda likizo tu.”
No comments