Bow Wow atangaza kustaafu muziki baada ya kutoa albamu yake mpya ‘NYLTH’
Rapper from the US, Shad Moss aka Bow Wow has announced his retirement from making music after releasing his last album titled 'NYLTH' though not mentioned on releasing the album.
Bow Wow (29) amesema hayo kupitia kwenye mtandao wake wa Twitter baada ya kuandika ujumbe uliosomeka,“Over 10 million sold. This the last one. THANK YOU for the musical journey!.”
“Retirement only means that it is time for a new adventure” over 10 million sold. This the last one. THANK YOU for the musical journey! #screamtours #over10miionsold #didwhatisaididdo #retirefromtherapgamebefore30 #blessed #princeofhiphop #sosodef #DPG “Im NOT coming back wearing the 4-5. ITS OVER ,” aliandika rapper huyo kwenye mtandao wake wa instagram.
Rapper huyo aliachia albamu yake ya kwanza akiwa na miaka 13 mwaka 2000 iliyojulikana kama ‘Beware Of Dog’. Lakini pia rapper huyo ataendelea na kuonekana kwenye TV kupitia kazi zake za uigizaji na utangazaji.
No comments