Mhispania Rafael Nadal amefanikiwa kuingia raundi ya pili ya michuano ya Us Open baada ya kushinda kwa seti 6-1,6-4,6-2 dhidi ya Denis Stomin katika mchezo wa raundi ya kwanza
No comments