Header Ads

Header ADS

Wimbo ‘Moyo Mashine’ umeandika historia mpya katika maisha ya muziki wangu – Benpol

Msanii wa muziki wa R&B Ben Pol amesema wimbo wake mpya ‘Moyo Mashine’ aliyouachia wiki tatu zilizopita ni Akizungumza na Bongo5 wiki hii, Ben Pol amesema wimbo ‘Moyo Mashine’ ni wimbo ambao umefanya vizuri mapema zaidi kuliko nyimbo zake zote.
“Haijawahi kutokea nyimbo yangu ikafanya vizuri hivi kwa muda mfupi,” alisema Ben Pol “Moyo Mashine sasa hivi inakaribia view laki tano YouTube ndani ya wiki mbili na nusu sawa sawa na ‘Sophia’ ambayo ina mwaka na zaidi. Kwa hiyo hii ni historia kwa sababu haikuwahi kutokea katika maisha yangu ya muziki, kwa hiyo mimi nasema asante sana mashabiki wangu, media pamoja na watu wangu ambao nimefanya nao kazi au wameshiriki kwa namna moja kwenye project hii,”Ben Pol ambao umebadilisha mambo mengi katika maisha yake ya muziki.

No comments

Powered by Blogger.