Header Ads

Header ADS

Prezzo amchana Jaguar, amuita mshamba, ni baada ya yeye kuitwa ‘socialite’ (Audio)

Bifu ya mafahari wawili wa muziki nchini Kenya, Jaguar na Prezzo haioneshi dalili za kuja kumalizika hivi Wiki kadhaa zilizopita, Jaguar alihojiwa kwenye kituo cha redio cha Kenya, Kiss FM na kudai kuwa Prezzo ni socialite wa kiume anayependa sifa.
Tafsiri ya socialite ni: Someone who has money and doesn’t work, instead devoting his/her life to being “socially active.” Socialites go to parties, gather media attention, and essentially “work” at being popular.
“Mimi simchukii Prezzo namheshimu sana lakini akicome tufanye song aache hiyo mambo ya usocialite ana akue mwanaume,” alisema Jaguar kwenye interview hiyo.
Kwa upande wake Prezzo aliyezungumza hivi karibuni na kipindi cha Funiko Base cha Radio5, alidai kuwa hana tatizo na wazo hilo la kufanya wimbo naye lakini akamuonya apunguze kwanza ushamba.Prezzo vs Jaguar.

No comments

Powered by Blogger.