Header Ads

Header ADS

Stephen Curry amejiondoa kwenye michuano Olimpiki ya Rio 2016

Mchezaji bora wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA, Stephen Curry, amejitoa katika kikosi cha Marekani ambacho kitaenda kwenye michuano ya Olimpiki mjini Rio, Brazil, mwezi Agosti mwaka huuCurry,28, amesema majeruhi aliyonayo ndani ya msimu huu, ndio sababu kubwa ya kujitoa kwenye timu ya kikapu ya Marekani hivyo anataka muda wa kupumzika ili ajiandae na msimu ujaoWARNING - CHARGES MAY APPLY Email sent from: "Grant, Rob" rgrant@thestar.ca Subject: gettycurry Date: 14 February, 2015 9:45:07 PM EST BROOKLYN, NY - FEBRUARY 14: Stephen Curry #30 of the Golden State Warriors for the Degree Shooting Stars poses for a portrait prior to the 2015 State Farm All-Star Saturday Night on February 14, 2015 at Barclays Center in Brooklyn, New York. NOTE TO USER: User expressly acknowledges and agrees that, by downloading and/or using this Photograph, user is consenting to the terms and conditions of the Getty Images License Agreement. Mandatory Copyright Notice: Copyright 2015 NBAE (Photo by David Dow/NBAE via Getty Images)

No comments

Powered by Blogger.