Header Ads

Header ADS

TIZAMA;Ufaransa kufungua mashindano ya Euro 2016


Mashindano ya mataifa ya ulaya maarufu kama Euro, yanaanza leo Jun 10/2016 huko nchini Ufaransa. Wenyeji wa michuano hii Ufaransa watafungua pazia kwa kushuka dimbani kuwakabili Romania katika mechi ya kundi A mchezo ukichezwa katika uwanja wa Stade de France Mjini Paris.Jumla ya timu 24 zitashiriki michuano hii na ikiwa ni mara ya kwanza kuweza kushirikisha idadi ya timu hizo hapo awali ni timu 16 tu ndizo zilikua zinacheza michuano hii.
Viwanja kumi vikitumika kumsaka bingwa mpya wa ulaya,mabingwa watetezi wa mashindano haya ni Spain ambao walibeba Kombe 35193AA000000578-3633999-image-a-2_1465501493347 2012.
35193AA000000578-3633999-image-a-2_1465501493347

No comments

Powered by Blogger.