Header Ads

Header ADS

TIZAMA ;Rich Mavoko: Diamond anapromote kazi za wasanii wake kuliko hata zake mwenyewe (Video)

Mavoko anadai kuwa bosi wake huyo hupigia debe kazi za wasanii wa label yake kuliko hata zake mwenyewe.
“Sisi huwa tunapanga strategy nzuri kabisa ya promotion kabla ya kutoa nyimbo akiwemo Diamond mwenyewe anakuwa mstari wa mbele sana kwa sisi. Mpaka sometimes mameneja wanamuambia ‘mbona wewe unakuwa mstari wa mbele sana kwenye kazi za wenzako.’ Lakini nafikiri ni moyo wa kujitolea kwamba ana13277779_909000139226068_175520434_namini alipofika mtu yoyote anaweza akafika kama akijituma,” Mavoko ameiambia

No comments

Powered by Blogger.