Header Ads

Header ADS

TIZAMA;adhabu-ya-kusimamishwa-kucheza-tennis-kwa-miaka-2-itamgharimu-maria-sharapova-50m-06-2016/

Nyota wa tennis, Maria Sharapova amesimamishwa kucheza mchezo huo kwa miaka miwili na shirikisho la kimataifa, ITF kwa kubainika kutumia madawa ya kuongeza nguvu baada ya vipimo vyake kuchukuliwa January kwenye mashindano ya Australian Open.intend to stand for what I believe is right and that’s why I will fight to be back on the tennis court as soon as possible.”
Adhabu hiyo itakuwa na madhara makubwa kifedha kwa Sharapova, aliyekuwa mwana michezo wa kike anayelipwa fedha nyingi duniani kwa miaka 11 mfululizo kabla ya mwaka huu Serena Williams kuchukua taji lake.
Amejikusanyia utajiri wa dola milioni 285 katika kipindi cha maisha yake ya mchezo huo huku akiingiza wastani wa dola milioni 25 za zawadi, appearances na matangazo katika kipindi cha miaka saba.
Adhabu hii itamfanya ashindwe kuingiza dola milioni 50 katika miaka miwili atakayokuwa benchi.
Tayari mapato yake yameanza kushuka tangu January alipowekwa kando kupisha uchunguzi na pesa za matangazo bado hazijaanza kumiminika.
Chanzo: Forbes
Lady-TAG-Heuer-Sunglasses-Designed-by-Maria-Sharapova2-1200x800

No comments

Powered by Blogger.