Studio ya Wasafi Records yafungwa
Studio ya Wasafi Records yasimama kufanya kazi zake kwa muda kutokana na marekebisho yanaKupitia akaunti yake ya instagram, Diamond ameandika:
yofanyika ndani ya studio hiyo, Diamond amethibitisha
(Tumesimamisha huduma za Studio kidogo kwa sasa tunafanya marekebisho ili tuzidi kuwapatia kazi bora na hata muonekano mzuri wa selfie tukiwa kibaruani…. inshaallah siku si nyingi tutakuwa tumemaliza….@WasafiRecordsHouse Of Hits!) @red_interiors.I can’t wait to present to you our @WasafiRecords New Look!…. Still on the Making though

No comments