Header Ads

Header ADS

Hawa ndio majaji wa fainali za Airtel Trace Music Star 2016

Fainali za Tayari majaji wa fainali hizi wametangazwa akiwemo mentor wa mwaka huu, Keri Hilson kutoka Marekani. Wengine ni Makamu Mkuu wa Rais wa Roc Nation, Shawn ‘Pecas’ Costner na msanii wa DR Congo, Fally Ipupa.CkWo037WEAAWQlR la Airtel Trace Music Star zitafanyika Jumamosi, June 11 jijini Lagos Nigeria.

No comments

Powered by Blogger.