Header Ads

Header ADS

Punga maarufu Dar lapania kumpokonya Jux kwa Vanessa!

Vanessa Mdee ana ushindani mkali katika himaya yake ya mapenzi na Jux. Ushindani huo si kutoka kwa msichaPunga huyo amepania kumpokonya Vee Money tonge mdomoni. Pamoja na kuambulia mvua ya matusi kutoka kwa watanzania wanaokerwa na tabia yake hiyo, James haoneshi kujali.
“MI MWENZENUUU.. NATABIA MOJAA.. NIKIMPENDA MTU LAZMAA NIMPATEEE. SO WALA MSIHANGAIKEE. KUNIHUKUMUUU… ET DHAMBI. DHAMBI MMEONA HIII TUU EEH.. VEEPE WALE WANAO DHIN. ???? VEEPE WALE WANAO UWAA??? VEEPE WALE WANAO BAKAA??? VEEPE WALEE WANAO SAGANA?? VEEPE WALEE WANAO SALIT NDOA ZAO??? VEEPE WALE WANAO LOGAA..??? VEEPE WALE WANO JIUZAA..????,” ameandika kwenye picha aliyoiunganisha na ya JUX.13402156_966527616779431_1291599322_nna mwenzake, bali kutoka kwa shoga maarufu Instagram, James Delicious

No comments

Powered by Blogger.