Header Ads

Header ADS

Picha: Maelfu wajitokeza kumswalia Muhammad Ali

Maelfu ya waumini wa dini ya Kiislamu Ijumaa hii katika jimbo la Kentucky, Marekani wamejitokeza kuuswaliwa mwili wa marehemu bondia mashuhuri duniani Mohammed Ali aliyefariki dunia wiki iliyopita akiwa na Swala hiyo imerushwa moja kwa moja kupitia runinga na Waislamu wengi duniani wanatumai kwamba itaashiria mchango mzuri kwa dini ya Kiislamu nchini Marekani.
Muhammad Ali alisilimu akiwa kijana. Alikuwa kwanza mwanachama wa madhehebu ya Nation of Islam, Mazishi yake yatafanyika Ijumaa.**NO WEB** Muhammad Ali's coffin is seen arriving for the Islamic prayer service at Freedom Hall, Louisville, KY Ref: SPL1286480 090616 Picture by: Splash News Splash News and Pictures Los Angeles: 310-821-2666 New York: 212-619-2666 London: 870-934-2666 photodesk@splashnews.comThe coffin of late boxing champion Muhammad Ali arrives for a jenazah, an Islamic funeral prayer, in Louisville, Kentucky, U.S. June 9, 2016. REUTERS/Lucas Jackson wa miaka 74

No comments

Powered by Blogger.