Header Ads

Header ADS

TUZO ZA ALIKIBA Zamfanya Mwanamuziki AT Ajikojolee Kitandani

Kabla ya tukio kubwa la #EATVAwards jana usiku, msanii AT aliahidi kuwa kama Kiba angeshinda tuzo basi kwa furaha angekojoa kitandani. Baada ya tuzo hizo na Kiba kulamba tuzo 3. AT ametimiza ahadi hiyo na kutupia picha insta.


No comments

Powered by Blogger.