Header Ads

Header ADS

Vanessa Mdee, Alikiba, Diamond na Navy Kenzo watajwa kuwania tuzo za Soundcity MVP

Majina ya wasanii watakaowania tuzo za Soundcity MVP 2016 yametangazwa. Diamond ametajwa kuwania vipengele vitatu, Vanessa Mdee viwili huku Alikiba na Navy Kenzo wakiwa na kimoja kimoja. Tuzo hizo zitatolewa kwenye ukumbi wa uliopo Eko Hotel jijini Lagos, December 29. Ili kuweza kuwapigia kura wasanii unaowapenda bonyeza hapa




Kama Una Habari,Picha,Tangazo n.k Wasiliana Na mussanassari blog kwa SimuWhatsApp 0788722501



No comments

Powered by Blogger.