Header Ads

Header ADS

SIJAWAHI KUFURAHI KUFANYA VIDEO KAMA ILE YA MUZIKI ASEMA BEN POL

Kama umeitazama video ya wimbo mpya wa Darassa ‘Muziki’ aliomshirikisha Ben Pol, utakuwa umeona jinsi wanavyokula bata kiasi cha kukufanya uyatamani maisha yale
Ben Pol alisema  kuwa kinachoonekana ndicho kilichofanyika – walikuwa na muda mzuri kiasi cha kumfanya akiri kuwa hajawahi kufurahia kufanya video kama ilivyokuwa kwenye hiyo



          Kama Una Habari,Picha,Tangazo n.k Wasiliana Na mussanassari blog kwa SimuWhatsApp                                                             0788722501


No comments

Powered by Blogger.