Header Ads

Header ADS

TIZAMA | Aliyekuwa Spika wa Bunge Samwel Sitta afariki dunia

Aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.
Kiongozi huyo inadaiwa alifikwa na mauti saa 7:30 kwa muda wa nchini Ujerumani alikokuwa akitibiwa.

Rais Magufuli amtumia Spika wa Bunge salama za rambirambi kufuatia kifo cha Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta. 
Wadau mbalimbali walioguswa na msiba huyo watoa yamoyoni


Barnaba
Spika wa bunge mstaafu mh: samuel sitta amefariki dunia kuamkia leo ulale salama Baba mengi mazuri umefanya pamoja na kujenga Nchi yetu Tanzania mungu akuweke maala Penye ewa ya pepo na malaika wake wakujie pole kwa nduguNa marafiki ðŸ˜­ðŸ˜­ R.I.P


Jerry Muro
Tulikupenda sana mzee wetu Mhe Samwel Sitta, ila Mungu amekupenda sana pumzika kwa amani mzee wa viwango R.I.P Mzee Samwel Sitta

No comments

Powered by Blogger.