Mchezaji wa klabu ya Simba SC ambaye anacheza nafasi ya beki wa pembeni Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ hatiamye amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na nusu katika klabu ya Simba ambao utamalizika mwaka 2019
Mchezaji Mohammed Hussein akisaini mkataba mpya akiwa na Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva
No comments