Picha/ Video: Man United walivyo shinda ngao ya jamii
Kabla ya Ligi Kuu England kuanza huwa kuna mchezo wa ngao ya jamii, mchezo ambao huzikutanisha timu Bingwa wa Ligi Kuu na Bingwa wa Kombe la FA, mechi hiyo ilichezwa August 7 2016 England katika uwanja wa Wembley Leicester City ambaye ni Bingwa wa EPL na Man United ambaye ni bingwa wa FA walikutana.
Jesse Lingard aliifungia United bao la kuongoza kabla ya mapumziko

Video ya Magoli
No comments