Juventus ya toa ruhusa Paul Pogba kufanyiwa vipimo Man United
Klabu ya Juventus imetoa ruhusa kwa kiungo Paul Pogba kufanyiwa vipimo vya afya ili kukamilisha usajili wake kujiunga na Manchester United
Pogba, 23, amekuwa akihusishwa na kuhamia Old Trafford kwa bei ya kuvunja rekodi ya dunia ya ununuzi wa wachezaji ya pauni milioni moja.
Meneja wa United Jose Mourinho alikuwa amedokeza kwamba klabu hiyo ilikuwa imekaribia sana kumpata Pogba.
Kuanzia saivi Pogba anaweza kutangazawa kama mchezaji wa Manchester United
No comments