Header Ads

Header ADS

Paul Scholes aponda ada ya Paul Pogba kwenda Man Utd

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya England na Man Utd Paul Scholes amepinga vikali ada ya uhamisho ya Paul Pogba wa Juventus kwenda Man United, ambayo imetajwa kuwa ni dola za kimarekani milioni $113.
Paul anasema “Nimewahi kucheza naye kiwanja kimoja zamani na aliondoka mwaka 2012 kutokana na kutaka pesa nyingi sana wakati alikuwa kijana mdogo”
                      Scholes aliendelea kusema “Pesa kama hio wanunuliwe wachezaji wenye uwezo wa kufunga magoli 50 kwenye msimu mmoja kama Ronaldo au Messi, kwa umri wake sasa anataka pesa nyingi sana, sio sawa ,lazima awe bora zaidi kwanda ndio awe na thamani ya pound milioni £86m ambazo ni kama dola za kimarekani $131 million”.

No comments

Powered by Blogger.