Header Ads

Header ADS

Diamond na Cassper Nyovest waunganishwa kwenye collabo ya Coke Studio SA

Diamond Platnumz na rapper wa Afrika Kusini, Cassper Nyovest wameunganishwa kwenye collabo ya pamoja kwenye msimu mpya wa Coke Studio version ya Afrika Kusini.
                                   Wawili hao wameingia studio Jumanne hii jijini Johannesburg kurekodi wimbo wao. Hii itakuwa ni mara ya tatu Diamond anashiriki kwenye kipindi hicho baada ya kushiriki mara mbili kwenye Coke Studio Africa inayofanyika jijini Nairobi, Kenya
                 Akipost picha akiwa na Cassper, Diamond ameandika: Creating an Anthem in Coke Studio South Africa with my Hommie @casspernyovest now! #CokeStudioZa.”

Hasimu wa Cassper, AKA naye yupo kwenye msimu huu ambapo collabo yake amefanya na msanii wa Nigeria, Patoraking.



No comments

Powered by Blogger.