Header Ads

Header ADS

Nitairejesha Nisher Record Mahali Yake-Nisher

Anafahamika zaidi kama muongozaji wa video za muziki lakini Nisher ni mtayarishaji wa muziki pia, ukiongezea na vipaji vingine vingi alivyonavyo                                                                                                                                                        Staa huyo wa Arusha ametangaza kuirejesha tena studio yake ya muziki, Nisher Records. Ili kuwa na ujio wa kishindo, Nisher ametangaza ofa nzuri kwa wasanii wa kwanza kuingia ‘booth.’
kuwa kurejea tena kwenye utayarishaji muziki hakumaanishi kuwa ameachana na kuongoza video. Mwaka jana, producer huyo alitayarisha wimbo wa Fid Q, ‘Bendera ya Chuma’ aliyomshirikisha Ben Pol.

No comments

Powered by Blogger.