Header Ads

Header ADS

AKA amtaja msanii mwingine anayemkubali Bongo baada ya Diamond na Joh Makini (Audio)

Rapper AKA alifanya mahojiano na mtangazaji wa kituo cha redio cha Jembe FM, JJ kuhusiana na mambo kibao. Miongoni mwao ni collabo zake mbalimbali na wasanii anaowakubali Afrika.                                                      13712753_567472883431876_1908715138_nAliwataja baadhi yao kuwa ni pamoja na Diamond, K.O, M.I, Burna Boy na Wizkid.
Kuhusu msanii mwingine wa Tanzania anayeweza kuja kufanya naye kazi kama akitaka amshirikishe, AKA alisema:Nahitaji kujifunza zaidi kuhusu wasanii wa Tanzania, najua Diamond ana msanii aitwaye Harmonize, anafanya vizuri sana hivyo pengine naweza kumsupport.”

No comments

Powered by Blogger.