Header Ads

Header ADS

Waziri wa mambo ya ndani nchini Ufaransa ametaka vilevi vipigwe marufuku uwanjani kwenye Euro 2016

Waziri wa mambo ya ndani nchini Ufaransa, Bernard Cazeneuve amewataka waandaaji wa michuano ya bara la Ulaya ya Euro 2016 kukataza vilevi katika maeneo ya michezo.mesema maeneo ya michezo ni nyeti wakati mechi zikichezwa na hata siku moja kabla ya michuano. Kauli hii ameitoa baada ya fujo kuibuka kutoka kwa mashabiki wa England na Russia. UEFA imezitahadharisha England na Russia huenda zikaondolewa kwenye michuano ya Euro 2016 kama vurugu zao zilizotokea kwenye mchezo wao wa ufunguzi huko Marseille zitaendelea.EP-140929835

No comments

Powered by Blogger.