Wasanii waache wakashoot video zao nje-Hanscana
Mtayarishaji wa video za muziki nchini kutoka Wanene Film, Hanscana
amefunguka kwa kusema kuwa haoni tatizo kwa wasanii wa Tanzania
kuendelea kushoot video zao nje.
Akiongea Jumanne hii, Hanscana amesema Tanzania kuna uhaba mkubwa na madirector ndiyo maana wasanii wengi wanatoka nje kwenda kushoot video zao.
“Unajua wasanii wetu ni wengi alafu madirector niwachache sana,” alisema Hanscana. “Kwa mfano wote wakitaka kushoot na mimi itakuwaje?, kwa hiyo bora hata hao baadhi waende wakashoot nje,”
Pia Hanscana amewataka madirector wa bongo kuongezeka ili waweze kugawana mkate ambao unapotelea nje.

No comments