Header Ads

Header ADS

Drake aliwa $60k na French Montana kubeti

Mchezo wa kubashiri matokeo umemponza Drake kwa kuliwa dola 60,000 na msanii mwenzake French Montana baada ya Golden State Warriors kufungwa na Cleveland Cavaliers02a41cbd1ae9e24aa9bc7871c95742d2
Drake na Montana waliwekeana dau hilo kwa mtu timu yake ikishinda ndiye ataondoka nalo na hatimaye bahati hiyo ikaenda kwa French Montana kwa kuondoka na dau hilo. Kupitia akaunti ya SnapChat, French Montana alisema, “Shout-out to my brother Drizzy Drake for that 60 bands, ‘cuz you ain’t believe in LeBron.”
Drizzy ni shabiki wa timu ya Toronto lakini kwenye mchezo huo wa fainali ya saba alikuwa akishabikia upande wa Golden State Worrior ikiongozwa na Stephen Curry.
Kwa mujibu wa Forbes, Drake ni miongoni mwa rappers tajiri duniani akiwa na utajiri wa zaidi ya dola milioni 60.

No comments

Powered by Blogger.