Header Ads

Header ADS

TIZAMA;Majibu ya wabunge wa upinzani kwa Naibu Spika Dk. Tulia baada ya Posho zao kusitishwa

Moja ya story ambayo imeandikwa June 10 2016 kwenye gazeti la Mtanzania ni hii yenye kichwa cha habari ‘Wapinzani wamjibu Naibu Spika Dk Tulia’
Gazeti hilo limeripoti kuwa wabunge wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wamebeza uamuzi uliofanywa na Naibu Spika Dk. Tulia Ackson kwa kusitisha posho zao na kusema hawakwenda Bungeni kufuata malipo hayo.
Kupitia gazeti hilo limenukuu kauli mbalimbali za wabunge wa upinzani wakibeza uamuzi huo wa Naibu Spika, Gazeti hilo limemnukuu David Silinde akisema…….>>> Kauli ya kusitishwa kwa posho za wabunge wa upinzani eti kwa sababu wanatoka kwenye ukumbi wa bunge ni ishara  tosha kuwa hajatulia na anakurupuka lakini uamuzi wake huo hautukatishi tamaa wa kuendelea na msimamo wetu dhidi yake’

No comments

Powered by Blogger.