Header Ads

Header ADS

Dalili nyingine ya Zlatan Ibrahimovic kuelekea kujiunga na Man United

siku wa June 9 taarifa za staa wa zamani wa klabu ya Paris Saint Germain yaUfaransa Zlatan Ibrahimovich kuhusishwa kujiunga na klabu ya Man Unitedzimechukua sura mpya, Zlatan anaripotiwa kukamilisha hatua ya nne ya kujiunga na klabu ya Manchester United.
Dalili inayotajwa kuwa staa huyo yupo mbioni au katika hatua za mwisho kujiunga na klabu ya Man United zinazidi kudhihirika, baada ya kuripotiwa tayari ametafutiwa nyumba ya kuishi katika jiji la Manchester ambapo ndio makao makuu au mji inapotoka klabu yaMan United.

No comments

Powered by Blogger.