Header Ads

Header ADS

TIZAMA;Azam FC yafungua duka lake jingine la kuuza vifaa vya michezo ndani ya boti

Azam FC yafungua duka lake jingine la kuuza vifaa vya mIMG_2403ichezo ndani ya boti

May 24 timu hiyo ilifanikiwa kuzindua duka lake la kuuza vifaa vya michezo maeneo ya Kariakoo na sasa imekuwa timu ya kwanza Tanzania kuzindua duka lake ndani ya boti.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuzindua duka hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa timu hiyo, Saad Kawemba amesema wameamua kufungua duka kutokana na kuwarahisishia mashabiki wao wanaosafiri kuelekea Unguja na Pemba kuvipata vifaa hivyo vya michezo na wale wasiopafahamu Kariakoo eneo lililopo duka lao kuu.

No comments

Powered by Blogger.