Header Ads

Header ADS

TIZAMA; Wanafunzi wa St Joseph waanza kuichanganya serikali ya Magufuli

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St Joseph waliokuwa wakisoma Kozi Maalumu ya Shahada ya Sayansi ya Elimu, wameruhusiwa
Ruhusa hiyo ilitolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, baada ya kuridhia maombi ya wanafunzi 316 yaliyowakilishwa na wenzao wanne; Ramadhani Kimenya, Faith Kyando, Oswald Mwinuka na Innocent Peter.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji Elieza Feleshi baada ya mawakili wa Chuo cha St Joseph, Jerome Msemwa na wale wa TCU, Rose Rutta na Judith Misokia, kuridhia maombi hayo.
IMG_20140814_124904 kufungua kesi dhidi ya chuo hicho na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU).

No comments

Powered by Blogger.