Tazama ujumbe wa mastaa waliompongeza Lebron James na Cleveland Cavaliers kuibuka na ubingwa wa NBA
Usiku wa Jumapili timu ya mchezo wa kikapu ya Lebron James, Cleveland
Cavaliers ilifanikiwa kuibuka mabingwa wapya wa NBA kwenye mchezo wa
fainali ya saba kwa kushinda kwa vikapu 93 dhidi ya 89 vya Golden State
Warrior.
Mastaa kibao wa Marekani wameonyesha furaha yao kwa Lebron James kwa kuonesha mchango mkubwa kufanikisha Cleveland Cavaliers baada ya kutoka nyuma kwa kufungwa mechi 3-1 na mpaka kufanikiwa kuibuka mabingwa wapya kwa kushinda mechi tatu mfululizo.
Picha na ujumbe wa mastaa waliompongeza Lebron James.Even if u was Curry btch there’s still a Lebron. Lol. #DontHurtMecc @djmustard CONGRATS to both teams! Fat JoeI Called This Series!!!!!I told you weeks ago I’m a coach my record is 99 and 1. I told you Lebron would do it for Cleveland and they deserve it! it’s been 50 years god bless it’s only right a true mvp! and I take back no talk#allthewayup@sportsnation @fatjoehas one team going ALL THE WAY UP ™@sportsnation Dj Khaled @kingjames they don’t want you to win another ring ! So U made sure u won another ring! Salute the ! 2 rings in MIAMI !!! And now a ring in Cleveland .. Bless up u deserve it u work hard and yes they counted u out so now u counting it up! P DiddyVICTORY!! Congrats@kingjames #NBAFinals #BeGREAT

No comments