Header Ads

Header ADS

One Dance ya Drake na Wizkid yaendelea kuwa namba 1 kwenye Billboard Hot 100 kwa wiki sita



Drake na Wizkid wanaendelea kutisha kwenye chati za Billboard Hot 100.Drake-cr-Caitlin-Cronenberg-2016-billboard-1548-650-02
Kwa wiki ya sita mfululizo sasa, wimbo wao, One Dance umeendelea kuwa namba moja.
Hatua hiyo imekuja baada ya wiki hii msanii wa Nigeria, Seyi Shay kusababisha mjadala mkubwa mtandaoni baada ya kudai kuwa wimbo huo ni wa Wizkid. Kauli hiyo ilikanushwa na Wizkid aliyemuonya kutoongea vitu asivyovijua.
Seyi aliomba msamaha.

No comments

Powered by Blogger.