Header Ads

Header ADS

Mwanamuziki Run Town ashow love kwa mfanyabiashara wa Tanzania

Run Town toka Nigeria ameshow love kwa mfanyabiashara wa Kitanzania anaemiliki duka la "RUN TOWN COLLECTION" lililopo Mombasa Kenya. Mfanyabiashara huyo anaetambulika kwa jina la Farhan ambae kwa sasa makazi yake na biashara amehamishia Mjini Mombasa amesema Run Town alimu INSPIRE sana hivyo kuamua kuliita duka lake jina la "RUN TOWN COLLECTION"Hivi karibuni Msanii Run Town alipost Picha ya Duka hilo kupitia mtandao wa Instagram.

No comments

Powered by Blogger.