Header Ads

Header ADS

Maradona na Pele wadukuliwa wakimjadili Messi

Aliyekuwa nyota wa soka nchini Argentina, Diego Maradona, na gwiji mwingine wa soka Pele wamesikika wakijadili umaarufu wa mshambuliaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionell Messi.
Maradona alisema Messi ni mtu mzuri na mchezaji hodari lakini hana tajiriba ya kuwa kiongozi.

No comments

Powered by Blogger.