Alvaro Morata kurejea Real Madrid
Klabu ya Real Madrid imetangaza kumrudisha mshambuliaji wao wa zamani
Alvaro Morata atajiunga nao msimu huu utakaoanza mwezi Agosti walitoa
habari hiyo kupitia tovuti yao.
Morata ambaye ni mchezaji wa Juventus ya Italia alikuwa akiwindwa na Chelsea pamoja na Arsenal huku Juventus ambayo alijiunganayo mwaka 2014 kwa paundi 20 milioni ikiwa inamhitaji abakie.
Morata hadi saivi amesha funga mara mbili katika michuano ya Euro 2016 inayoendelea nchini Ufaransa.
Mkurugenzi mtendaji wa Juventus Giuseppe Marotta mapema wiki hii alinukuliwa akisema wanatarajia kupokea ofa toka Madrid siku chache zijazajo.
“Tunategemea kupokea ofa kwa maandishi siku zijazo kwa mchezaji wetu na kuna asilimia chache sana za kuendelea kubaki nasi msimu ujao” alisema Morotta.
Madrid walimuuza Morata kwa Juventus huku wakiweka kipengele cha kupewa kipaumbele kama watahitaji kumnunua tena.

No comments