Header Ads

Header ADS

Waziri Nape atuma salamu za rambirambi kwa familia ya mchezaji wa Mbao FC

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, Jumatatu hii ametoa salamu za rambirambi kwa wanafamilia Wa Ismail Khalfan mchezaji wa Mbao FC chini ya umri wa miaka 20, ambaye alipoteza maisha katika mchezo wa mwisho wa round ya 7 kundi A kituo cha Kaitaba, Bukoba
Ismail Khalfan ambaye alikuwa anavaa jezi namba 4 katika mashindano hayo, ndiye aliyefunga goli la kwanza la Mbao FC dhidi ya Mwadui FC katika ushindi wa magoli 2-0.

Hii ni taarifa kutoka wizara ya habari na michezo


No comments

Powered by Blogger.