Header Ads

Header ADS

Views ya Drake yampa Wizkid nomination ya kwanza ya tuzo za Grammy

Wizkid ni miongoni mwa wasanii waliotajwa kuwania tuzo ya Grammy mwakani kupitia kushiriki kwenye album ya Drake, Views.
Wizkid alishirikishwa kwenye wimbo One Dance uliomo kwenye album hiyo iliyotajwa kuwania kipengele cha Album ya Mwaka. Inachuana na album za Adele, Beyonce, na Justin Bieber.

Hawa ndio waliotajwa pamoja kwenye album ya Views kwa mujibu wa Grammy:

Drake – Views
dvsn, Future, Kyla, PartyNextDoor, Rihanna & Wizkid, featured artists; Brian Alexander-Morgan, Axlfoliethc, Beat Bully, Boi-1Da, Cardo, Dwayne “Supa Dups” Chin-Quee, Daxz, DJ Dahi, Frank Dukes, Maneesh, Murda Beatz, Nineteen85, Ricci Riera, Allen Ritter, Noah “40” Shebib, Southside, Sevn Thomas, Jordan Ullman, Kanye West, Wizkid & Young Exclusive, producers; Noel Cadastre, Noel “Gadget” Campbell, Seth Firkins, David “Prep” Bijan Huges & Noah “40” Shebib, engineers/mixers; Chris Athens, mastering engineer
Label: Young Money/Cash Money/Republic Records

No comments

Powered by Blogger.