Header Ads

Header ADS

Trey Songz sio role model wangu – Jux

Jux anataka watu waelewe kitu hiki ‘once and for all’, Trey Songz sio role model wake
Amedai kuwa kitendo cha kujichora tattoo kifuani inayofanana na msanii huyo wa Marekani, hakimaanishi kuwa ni mtu anayemuangalia kwa jicho la ‘role model.’
 Kuhusu kilichotokea miezi kadhaa iliyopita kati ya Vanessa Mdee na Trey walipokutana Nairobi kwenye Coke Studio ambapo picha zao zilisababisha headlines nyingi, Jux anasema alikuwa anajua kila kinachoendelea

“Trey ni mtu ambaye napenda tu kazi zake, sio role model wangu,” alisema muimbaji huyo wa Juu kwenye mahojiano na kipindi cha The Base cha ITV.

No comments

Powered by Blogger.