Mwanamuziki mkongwe wa UK, George Michael afariki dunia
Mwanamuziki mkongwe wa nchini Uingereza, George Michael amefariki dunia nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 53
Msemaji wake amedai kuwa mwanamuziki huyo aliyeanza kujipatia umaarufu miaka ya 1980s amefariki kwa amani huko Goring, Oxfordshire.
Taarifa ya msemaji wake imesema: It is with great sadness that we can confirm our beloved son, brother and friend George passed away peacefully at home over the Christmas period. The family would ask that their privacy be respected at this difficult and emotional time. There will be no further comment at this stage.”
Moja ya mastaaa waliomlilia ni Sir Elton John aliyeweka picha yake kwenye Instagram na kuandika: I am in deep shock. I have lost a beloved friend – the kindest, most generous soul and a brilliant artist. My heart goes out to his family and all of his fans.”
Michael, aliyezaliwa kwa jina la Georgios Kyriacos Panayiotou, kaskazini mwwa London, ameuza zaidi ya nakala milioni 100 katika maisha yake ya muzik
miongoni mwa nyimbo zake zilizokuwa hits ni Too funky
No comments