Header Ads

Header ADS

Kidogo ya Diamond na P-Square yaweka rekodi hii Australia

  • Diamond Platnumz haishi kutuamsha na habari kubwa zinazohusiana na nyimbo zake  

Wimbo huo umekuwa wimbo wa mwaka katika kituo cha redio cha Radio Afro cha Australia, baada ya kuzishinda nyimbo za magwiji wengi wa Afrika wakiwemo Wizkid, Davido, Tiwa Savage na wengine kibao.
Diamond ameshukuru kwa nafasi hiyo kwa kusema, “Thank you AUSTRALIA thank you RADIO AFRO…. KIDOGO ft P -SQUARE Song of the Year #RADIOAFRO.”

No comments

Powered by Blogger.