Tekno ameungana na Alikiba, Davido na wengine kama mwanafamilia mpya wa label ya Sony Music
Hitmaker huyo wa Pana, amesaini dili hilo wiki hii mbele ya promota maarufu wa Nigeria, Paulo O wa kampuni ya Upfront & Personal ambaye alipost video ya utiaji saini huo uliofanyika kwenye ofisi yake.
No comments