Header Ads

Header ADS

MUDA AMBAO ATAKUWA NJE PHILIPPE COUTINTHO

Mchezaji wa klabu ya Liverpool Philippe Coutinho taarifa zimetoka kuwa atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 6 kufuatia kuumia kifundo cha mguu kwenye mechi dhidi ya Sunderland.
Taarifa hizo zimethibitishwa baada ya Mbrazil huyo kufanyiwa uchunguzi siku ya jumatatu.

Hizi ndio mechi za ligi ambazo atazikosa Coutinho
Bournemouth (A)
West Ham (H)
Middlesbrough (A)
Everton (A)
Stoke (H)
Man City (H)
Sunderland (A)


No comments

Powered by Blogger.