TIZAMA | Mfahamu mtoto wa Rambo ‘Sistine Stallone’ ni mrembo hatari!
Sistine Stallone mwenye miaka ’18’ ni mwanamitindo na mtoto wa muigizaji mkongwe, Sylvester Stallone ‘Rambo.’
Binti huyo alikuwa miongoni mwa mastaa waliopendeza zaidi na kuwa kivutio zaidi kwenye red carpet ya tamasha la filamu la 73 la Venice. Sistine alikuwa katika uzinduzi wa filamu ya kijeshi ya Hacksaw Ridge. Hizi ni baadhi ya picha za binti huyo
No comments