Nimenza kumsikia Harmonize kabla ya Diamond-Kiss Daniel
Msanii wa Nigeria, Kiss Daniel ambaye hivi karibuni alikuwa nchini hapa, amesema alianza kumsikia na kumfahamu Harmonize kabla ya Diamond.
\Kiss alifunguka hayo alipokuwa akiongea na Mo Faze Onlive TV baada ya kuulizwa wasanii gani anaowapenda ndani ya Bongo.
Aliwataja Diamond na Harmonize na kudai kuwa alianza kusikia nyimbo za Harmonize kabla ya kusikia nyimbo za bosi wa msanii huyo.
“I love Harmonize,I love Diamond,basically Diamond and Harmonize I love them both,they are really doing good.Actually I heard Harmonize before I heard Diamond,then I heard that Diamond is his boss,” alisema Kiss Daniel.
No comments