Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi August ligi kuu nchini Uingereza na kuwashinda Antonio Conte,Pep Guardiola na Mike Phelan waliokuwepo katika kinyang’anyiro hicho
No comments