Header Ads

Header ADS

Picha: Paul Pogba akabidhiwa jezi namba 6

Baada ya kusajiliwa na Manchester United kutoka Juventus ya Italia kwa ada ya paundi milioni 89 kwa mkataba wa miaka mitano, Paul Pogba, amekabidhiwa jezi namba 6 ambayo pia alikuwa akivaa zamani alipokuwa Juventus kabla ya kupewa jezi namba 10. Tazama picha za staa huyo akiwa na uzi wa Man United.

No comments

Powered by Blogger.